Kampuni ya magari ya Fiat Chrysler kutoka Marekani imeyarudisha magari yake yapatayo milioni 1.4 baada ya watafiti wa usalama kuonyesha ...
Mtambo wa simu bandia za iphone wavamiwa
Kampuni iliyodaiwa kutengeneza simu bandia 41,000 aina ya Iphones kutoka kampuni ya Apple imevamiwa huko Uchina na watu 9 kukamatwa. Op...
Facebook kukutambua bila picha ya uso
Tayari mtandao huo wa kijamii wa Facebook unakusanya taarifa kutoka katika picha zako ili kubaini migao ya maoni kutoka kwa marafiki wak...
Kondomu inayotambua maambukizi ya Zinaa
Wanafunzi katika shule moja nchini Uingereza wameunda mipira ya kondomu inayowaonya watumiaji wanapojamiana na mtu aliyeambukizwa marad...
Alama yawaelekeza wateja kwenye ngono
Kampuni ya chakula Heinz imeomba msamaha baada ya alama ya siri katika mkebe mmoja wa Tomato Ketch Up kuwaelekeza wateja katika mtandao...
Google sasa yakubali kuondoa picha za uchi
Waathiriwa wa picha za ngono katika mtandao wa Google wataruhusiwa kutuma ombi kwa kampuni hiyo la kuziondoa picha hizo. Picha hizo zita...
Roboti kuchukua kazi za raia Australia
Takriban asilimia 40 ya kazi nchini Australia ambazo zipo kwa sasa huenda zikapotea katika kipindi cha kati ya miaka 10 hadi 15 ijayo ....
Magari milioni 34,kurejeshwa viwandani
Takriban magari milioni thelathini na nne 34,000,000 yanatarajiwa kurejeshwa viwandani nchini Marekani kufuatia hitilafu ya kiufundi kwe...
Magari yanayojiendesha yahusika na ajali
15 Mei 2015 Imebadilishwa mwisho saa 17:49 GMT Wiki hii tumegundua kwamba magari manne kati ya 48 yanayojiendesha bila dereva ...
JE SIMU INAWEZA KUKULETEA SARATANI YA UBONGO ?
Katika mazingira ya sasa ambapokaribu kila kitu na kila sekta mambo yanaendeshwa kwa teknolojia ya mawasiliano kwenye simu, kom...
Kwenye zile kubwa za Dunia,kutana na Daktari aliyesahau simu ya Mkononi kwenye tumbo la mgonjwa..
Stori ambazo zimewahi kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari na kuingia kwenye headlines mbalimbali ni zile ambazo tunasikia mara kw...