Stori ambazo zimewahi kuripotiwa na
baadhi ya vyombo vya habari na kuingia kwenye headlines mbalimbali ni
zile ambazo tunasikia mara kwa mara kuwa Daktari alikua anafanya
Operesheni (Upasuaji) lakini kwa bahati mbaya akasahau mkasi au akasahau
baadhi ya vifaa vingine vya Matibabu.
Leo stori ambayo nashare na wewe mtu
wangu ni kuhusu Daktari ambaye alisahau simu yake ya mkononi kwenye
tumbo la Mama Mjamzito baada ya kufanyiwa upasuaji,ambaye alienda
kujifungua na huyo daktari ndiye aliyekua akiongoza Upasuaji huo kwa
huyo mama.
Hii imetokea kwenye nchi ya Jordan na
inasemwa kuwa Mama huyo aligundua hali hiyo baada ya simu hiyo kuanza
kuunguruma tumboni, Taarifa ya Gulf News
inasema mwanamke huyo anatmabulika kwa jina la Hanan Mahmood Karim
ambaye ana umri wa miaka 36, alijifungua mtoto wa kiume akiwa na uzito
wa Kg 4.8
Post a Comment