15 Mei 2015 Imebadilishwa mwisho saa 17:49 GMT
Wiki
hii tumegundua kwamba magari manne kati ya 48 yanayojiendesha bila
dereva katika barabara za Carlifonia yamehusika katika ajali za
barabarani katika kipindi cha miezi minane iliopita.Lakini je Teknolojia
ndio inayopaswa kulaumiwa?Google inasema kuwa ajali hizo
zinazoshirikisha magari yao zinatokana na madereva wengi kuyagonga
magari yao.
Post a Comment