Ujue IMEI namba ni muhimu sana kwa
security ya simu yako pindi inapoibiwa. Sasa hapa bongo kuna mobile
nyingi sana za kichina zinaingia. ikiwa dunia ya sasa simu nyingi(za kichina)
zisizo au zilizo na wrong IMEI namba zinapigwa ban kwenye baadi ya nchi
ikiwepo india.
Mwenye Mchina brandi za Alkatel, Sigmatel, Spice, Carboonn wanatoa valid
IMEI namba, na ukitaka kujua IMEI yako ni fake au correct basi fanya
yafuatayo:
-Bofya *#06# katika handset yako halafu ziandike digit 15 za IMEI namba yako pembeni
-Nenda sehemu ya message halafu ziandike zile digit 15 za IMEI namba yako
-Tuma hiyo msg kwenda namba 53232
-Kama msg ya reply ikija “success” so IMEI namba yako iko pouwa
-Na kama reply ikija “Invalid IMEI” ina maana kwamba IMEI yako haiku pouwa
-You are done
Baadhi ya codes za hizo simu ni kam ifuatavyo:
–Default user code : 1122, 3344, 1234, 5678
–Engineer mode : *#110*01#
–Factory mode : *#987#
–Enable COM port : *#110*01# -> Device -> Set UART -> PS Config -> UART1/115200
–Restore factory settings : *#987*99#
–LCD contrast : *#369#
–Software version : *#800#
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment