Rolls-Royce
ni moja ya magari ya kifahari ambayo mimi nimezoea kuyaona tu kwenye
video za Mastaa wakubwa wa muziki duniani na ni moja ya magari nadra
SANA kukutana nayo mitaani hapa Tanzania.
Nimekutana na post mpya ya May 8 2015
inayosema hili ni gari lao kwenye toleo jipya, ni post ambayo haikuwa na
maelezo zaidi ila mengine nitayatafuta mtu wangu.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye
absalom906.blogspot.com
Post a Comment