Mtandao njia mpya kubwa ya mawasiliano kwa kila mtu hivi sasa, World Lung Foundation wameona wasogeze hii huduma kwa kila mtu ambapo itakuwa rahisi tu mtu kuhudumiwa kwa njia ya mtandao.
Huduma hiyo imezinduliwa leo Dar, World Lung Foundation imerahisisha
kwa kuisogeza huduma hii ambayo itasaidia kutoa huduma kwa akina mama
wajawazito ppamoja na watoto kwa njia ya mtandao.
Tunajua kuna changamoto ya uhaba wa
vituo vya huduma za afya, lakini hii njia ya mtandao itasaidia kwa kiasi
kikubwa watu kupata msaada hata katika vituo vidogo vya afya.
Mfumo huu wa kutumia mtandao utasaidia
wafanyakazi wa vituo vya afya kuongeza uwezo wao wa kutoa huduma katika
kliniki za huduma za afya.
Post a Comment