Mwaka
2013, Mwenyekiti Mtendaji wa Google Eric Schmidt alikisia kuwa duniani
kote watu watakuwa kwenye mtandao mwishoni mwa karne.
Kuna progam tumishi nyingi ambazo zimetengezwa na zinatengezwa zikijaribu kuwaweka watu karibu kwenye mitandao .
Ripoti
iliyolewa hivi karibuni inaonesha kuwa kuna baadhi ya program tumishi
ambazo zitasaidia kwa kiwango kikubwa kuwaweka mtandaoni mamilioni ya
watu duniani miongoni mwa program hizo maalufu ambazo zinaonekana
kuongoza kupitia simu za mikononi ni;
1. M-Pesa
Hii ni Program tumishi kwa ajili ya malipo kupitia simu za mkononi
ambayo inatumika barani Afrika huduma iliyoanzishwa mwaka 2007 na
kampuni ya Safaricom ya nchini Kenya iliyomiongoni mwa makampuni ya
Vodafone,Mtumiaji anaweza tuma ama kupokea fedha kupitia ujumbe mfupi wa
maneno,kulipa bili na kununua muda wa maongezi.Katika maeneo ambapo
watu wanapata huduma chache za kibenki ama hakuna huduma hizo M-Pesa
imekuwa ikipata umaarufu ambapo kwa sasa inaonesha kufikisha kiasi cha
watumiaji milioni 18 wa huduma hiyo.
2. SoukTel
Ikiwa inatumika Mashariki ya Mbali, SoukTel ina program tumishi
mbalimbali zinazowasaidia watu kupata taarifa kuhusu kazi na huduma za
kijamii.Inajuikana hasa kwa kuhusianisha katika kutafuta kazi na
inawaunganisha watu mbalimbali kupitia ujumbe mfupi wa maneno toka
Jordan,Rwanda,Tunisia na nchi mbalimbali.Hivi karibuni SoukTel iliungana
na Facebook na kuanzisha huduma ya elimu ya uchumi nchini Colombia.5. Ver Se’ Innovation
Imetengenezwa huko Bangalore, India,ni program tumishi ambayo ni maalum
kwa taarifa na huduma za ndani ya India ambayo husaidia kutoa taarifa za
kazi,umiliki wa vitu mbalimbali na matangazo ya masoko huku ikiwa na
huduma ya malipo na manunuzi kwa njia ya mtandao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment